Hee hii habari mpya...lolPia wamo Figga nigga, Keren Happuch, Nitonye (Michael Pima. Wamepotea sana hawa watu. Ila Rejao na Matola wamekula Ban
Hee hii habari mpya...lol
FaizaFox na Malaria Sugu sijajua sababu za wao kutoonekana muda mrefu jamvini.
Hata mi nawamiss coz Rejao kuna kona tulimtafuta tukamkosa...dahRejao n Matola, will mic u!
MTM, Acid, De Novo, Carina Ti, Wozoza, Julius, Geoff, Chrispin, Nguli jabali, Sipo, Charity, Naniliu, Carmel, mwenzetu et el. Enzi hizo kulikuwa hakuna xana, cri, xoxo, 2ko, cc...
mkuu stuka....kila mtu yupo....vaa miwani ya mbao kamanda.......Jason bourne
Amekuwa mtoro sana!
mkuu stuka....kila mtu yupo....vaa miwani ya mbao kamanda.......
.. Babu, MTM nadhani kaja kivingine, anatumia jina la TIMING. Stuka!MTM, Acid, De Novo, Carina Ti, Wozoza, Julius, Geoff, Chrispin, Nguli jabali, Sipo, Charity, Naniliu, Carmel, mwenzetu et el. Enzi hizo kulikuwa hakuna xana, cri, xoxo, 2ko, cc...