Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

Kuna huyu dada anaitwa Dinnah, alikuwa ni member mzuri sana wa MMU.
I wonder where she is jamani!

Nimemkumbuka kweli!
 
Last edited by a moderator:
mhandisi......unahitajika mara moja kipande hii.......kuna eneo la barabara limeshuka kiwango....hebu kuja......

Preta mwezi huu natia timu mtu wangu nitakupm nikifika pande za A town tule nusu mbuzi mkuu.
 
Back
Top Bottom