Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

MTM, Acid, De Novo, Carina Ti, Wozoza, Julius, Geoff, Chrispin, Nguli jabali, Sipo, Charity, Naniliu, Carmel, mwenzetu et el. Enzi hizo kulikuwa hakuna xana, cri, xoxo, 2ko, cc...

Enzi hizo za nenda kakague, do the needfull...
 
[MENTION=9488]Mwana[/MENTION MTOKA@PABAYA
MwanaMTOKAPABAYA
Mwana MTOKA @PABAYA
sijui kulitag jina lake lote ila ni huyo Mwanamtokapabaya
 
Last edited by a moderator:
Kuna huyu dada anaitwa Dinnah, alikuwa ni member mzuri sana wa MMU.
I wonder where she is jamani!

Nimemkumbuka kweli!
Im back kipipi, nilipata tatizo la password, baada ya strugle sana hatimae nimeikumbuka,kijijini mae, hakuna mitandao,niko mjini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…