Naanza na SAGAI GALGANO na mwingine ni maarufu ila nimemsahau jina na leo kabla ya mechi alitutia mno joto wana Yanga SC hapa jamiiforums kwa threads zake za mikwara mbuzi.
Hii ndiyo Yanga SC bwana na bado.
Hii ndiyo Yanga SC bwana na bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nendeni mkampepeeni msemaji wenu
Hahah Mwasibu katelekeza ofisi.
Haupendezi kuwa mchokozi lakiniKwa hiyo Popoma umekimbia ID yako kuukuu hapa jukwaani?
Asante umbwa wewe 🤣Mimi ni Simba ila kuna muda ntu useme tu ule ukweli,nyinyi mbwa mnatisha,ni wa moto hamshikiki.
kuna muda nikajisemea tu moyoni hawa ni Utopolo au Real Madrid,,,!
Yanga imekua timu ya kumaliza shughuli mapema tena kwa vigogo wa soka timu kutoka kaskazini.
haaaa,,,!!Hongereni sana Utopolo hamna baya umbwa nyinyi.
Kwa hiyo Popoma umeikimbia ID yako kuukuu hapa jukwaani?
Saa 3 usiku imeshapita lakini.