Kwanza nendeni mkampepeeni msemaji wenu
Hahah Mwasibu katelekeza ofisi.
Haupendezi kuwa mchokozi lakiniKwa hiyo Popoma umekimbia ID yako kuukuu hapa jukwaani?
Asante umbwa wewe π€£Mimi ni Simba ila kuna muda ntu useme tu ule ukweli,nyinyi mbwa mnatisha,ni wa moto hamshikiki.
kuna muda nikajisemea tu moyoni hawa ni Utopolo au Real Madrid,,,!
Yanga imekua timu ya kumaliza shughuli mapema tena kwa vigogo wa soka timu kutoka kaskazini.
haaaa,,,!!Hongereni sana Utopolo hamna baya umbwa nyinyi.
Kwa hiyo Popoma umeikimbia ID yako kuukuu hapa jukwaani?
Saa 3 usiku imeshapita lakini.