Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hii ndio upuuzi wa kuwa na mlptl ID, boya moja huku linaponda baadae lina switch kwenye id nyingine linasifia... genta ww genta!!
Yani leo mpk usingizi umepaa...
Huu sasa ni uzwazwa...Kajipa Hadi Gender - FemaleView attachment 2915286
Huu sasa ni uzwazwa...
Bas huyu atakua KalpanaKajipa Hadi Gender - FemaleView attachment 2915286
Ha ha haYani leo mpk usingizi umepaa...
Mtani Ndio Naamka Nakusalimia Tu.Wee nitake radhi...
Samaleko mtani...lala tena uamke saa 4...Mtani Ndio Naamka Nakusalimia Tu.
Samaleko mtani...lala tena uamke saa 4...
Uzwazwa..yani mna mambo ya kijinga sana π π πNgoja Nikaangalie Kidogo Mechi Ya 5-1 Then 4- 0 Nirudi Kulala Hadi Saa Nne.[emoji23]
Ushanunua hii?Kwanza nendeni mkampepeeni msemaji wenu
Ushanunua hii?Uzwazwa..yani mna mambo ya kijinga sana π π π
Hahahahaha..ila hilo jina la Popoma aliyempa sijui alifikiria nnKwa hiyo Popoma umeikimbia ID yako kuukuu hapa jukwaani?
Saa 3 usiku imeshapita lakini.
kumbee..kuna nini kwaniUshanunua hii?
Kumbe wewe mgeni kwake? Yeye ndio alikuwa anaita watu hivyo mwisho limemgeukia yeye.Hahahahaha..ila hilo jina la Popoma aliyempa sijui alifikiria nn