makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Tunaenda kuwaona kama tunavyotembelea ndugu zetu jela. π πInabidi sasa hv mtu akipigwa ban tuonyeshwe wazi kua flani kapigwa ban na kosa lake specific ni hili hapa. Tena kwa hii interface mpya waweke kipengele cha "members with ban" tuwe tunaenda kuona na kujua kosa lao.
Anataka chendelela apigwe ban[emoji23][emoji23]Mkuu unazidi kuchochea moto??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, hivi ukilimwa ban account yako inakuwa inafanana vipi? [emoji23][emoji23]Wananioneaga tu mie mtu wa Mungu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena na hivi leo ni weekend, bwana Max ataita mods wote af awaambie wapige kama vita ya Ukraine. He is gonna be like " hawa watu wanaulizia ban? Inaonekana hawako serious na hawaogopi. Piga ban kama 10 hivi chap chap tupunguze kasi".
And mods gon say, "ndio mkuu". After hapo, woote tunajikuta tuko na popoma mkekani anatueleza jinsi ya kusurvive ukiwa na ban
ilo onyo wanakutumia PM au? Kuna mengi ya kufahamu aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]Mi ban nishastaafu kuna kipindi mpk nilikoma aisee! Nilipewa onyo kali sana kucheza na moderators maana Kuna kitu niliwasingiziaga nikala ban na nikapewa vichambo vyangu so nimeamua if you can't fight them join them..[emoji28]
Mkuu, huwa unapigwa ban unapochangia nyuzi zipi? Mbona nyuzi zangu za mapenzi huwa nafunguka mpaka maneno machafu na sijawahi kulimwa ban? Au huwa unamtusi mama [emoji23][emoji23][emoji23]Hata na zile BAN za Chuki, Wivu, Kukomolewa na Kutafutiwa kwa Makusudi?
Ukilimwa ban inakuwa ukichimama nchale, ukikaa nchale yani hamna kitu utafanya, πππ Sema watu wa mifumo huwa tuna resseruct... BAN hainizuii kuishi jfMkuu, hivi ukilimwa ban account yako inakuwa inafanana vipi? [emoji23][emoji23]
Anyway, ngoja nimtusi Mod mmoja hivi, nione ban linafanana vipi
Kama ni mdau wa movie unakumbuka Legend of 10 Rings ya Marvel yule demu alisema: You changed your name from Shang to Shaun? No wonder your father found you."
Kosa lako unakuwa unaliona wewe tu na ndio unakutananalo huwezi kwenda sehemu nyengine mpk siku adhabu yako inaisha..πilo onyo wanakutumia PM au? Kuna mengi ya kufahamu aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaa! Kumbe profile picture ikiwa na logo ya banned inaonesha mtu huyo kapigwa ban?[emoji23][emoji23] Aisee! Mimi nilijua kuwa@Extrovert anaweka avatar ya namna hiyoNilitaka uliza same thing Extrovert kila siku sioni profile pic naona Banned hadi nikajua ameweka profile pic ya Banned.
Hafu mtu mwenyewe sasa mtu wa watu..
Sawasawa..Wananioneaga tu mie mtu wa Mungu πππ
Kweli mkuu upo very honest!Wananioneaga tu mie mtu wa Mungu πππ
Bila huyu mtu kutajwa uzi ungekua batiliπππExtrovert hivi huwa unakosea nini?