Taja members waliokula ban nyingi hapa JF

Taja members waliokula ban nyingi hapa JF

Tena na hivi leo ni weekend, bwana Max ataita mods wote af awaambie wapige kama vita ya Ukraine. He is gonna be like " hawa watu wanaulizia ban? Inaonekana hawako serious na hawaogopi. Piga ban kama 10 hivi chap chap tupunguze kasi".
And mods gon say, "ndio mkuu". After hapo, woote tunajikuta tuko na popoma mkekani anatueleza jinsi ya kusurvive ukiwa na ban
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi ban nishastaafu kuna kipindi mpk nilikoma aisee! Nilipewa onyo kali sana kucheza na moderators maana Kuna kitu niliwasingiziaga nikala ban na nikapewa vichambo vyangu so nimeamua if you can't fight them join them..[emoji28]
ilo onyo wanakutumia PM au? Kuna mengi ya kufahamu aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, hivi ukilimwa ban account yako inakuwa inafanana vipi? [emoji23][emoji23]

Anyway, ngoja nimtusi Mod mmoja hivi, nione ban linafanana vipi
Ukilimwa ban inakuwa ukichimama nchale, ukikaa nchale yani hamna kitu utafanya, 😂😂😂 Sema watu wa mifumo huwa tuna resseruct... BAN hainizuii kuishi jf
 
Nilitaka uliza same thing Extrovert kila siku sioni profile pic naona Banned hadi nikajua ameweka profile pic ya Banned.

Hafu mtu mwenyewe sasa mtu wa watu..
Ahaa! Kumbe profile picture ikiwa na logo ya banned inaonesha mtu huyo kapigwa ban?[emoji23][emoji23] Aisee! Mimi nilijua kuwa@Extrovert anaweka avatar ya namna hiyo
 
Back
Top Bottom