Taja members waliokula ban nyingi hapa JF

Taja members waliokula ban nyingi hapa JF

Yah sasa siwezi kuwa soft nikiona mtu anashabikia mateso yangu. Not to that extent! Lazma nimwambie kitu ambacho kitamkera mara 2 mwishowe anakimbilia kwa kiranja kushtaki
Aisee Kama Ni hivyo nakuunga mkono maana tunaoumia Ni watanzania
 
Yah sasa siwezi kuwa soft nikiona mtu anashabikia mateso yangu. Not to that extent! Lazma nimwambie kitu ambacho kitamkera mara 2 mwishowe anakimbilia kwa kiranja kushtaki
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃEti kiranja!sawasawa
 
Rubish huwa anajitafutia ban mwenyewe sababu ya uwezo wake Mdogo wa kuchambua na kubalance maneno mwishoni uswahili unampelekea kupata matatizo ya ban.

Hata huu Uzi sidhani Kama utamuacha salama au tumuulize GENTAMYCINE huenda tunaeza pata chochote kuhusu hii mada
 
Back
Top Bottom