Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Machawa njooni tusaidiane kutaja miradi nyie ndio mnaijua vizuriMiradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji!...
Hii sgr nayo inasubiri 2025 waseme mama anaupiga mwingi toka 2021 iko asalimia 98%SGR Dar to Moro to Dom
Kazi ipoJNHP
Hii inafaa kabisa kuombea kuraKibaha-Kimara Road (morogoro road) Four way………
Poleni sanaBarabara ya Kidatu- Ifakara, hii toka nimeiona 2016 Hadi leo haijakamilika. Ni tabu tupu Morogoro linapokuja suala la barabara!
Walaumiwe nyumbu walioanzisha huo msemo 😏waseme mama anaupiga mwingi
Uwanja wa Ndege wa Mwanza!Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?
Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada ya dakika tano ambao walijua fika bwawa limeshakamilika lakini wanasiasa hawataki lifanye kazi mpaka 2025 hata motor moja isingekuwa imewashwa sasa hizo nane mpaka uchaguzi ndiyo ziwashwe.
Daraja la magufuli,
Mradi wa maji Mwanza,
Masoko yote makubwa Mwanza,
Endeleza list
kutoanza kwa ujenzi wa jengo bora na kimataifa la abiria la uwanja wa ndege Mwanza unamnyima point sana Rais Samiah kwa Mwanza,na pia barabara njia 4 Nyerere na Kenyatta Road vinginevyo hakuna kingine cha kumpunguzia point kwa kanda ya ziwa. Apambane navyo. vitaanza kujengwa karibu na uchaguzi na kisha kutelekezwa baada ya hapoMiradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?
Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada ya dakika tano ambao walijua fika bwawa limeshakamilika lakini wanasiasa hawataki lifanye kazi mpaka 2025 hata motor moja isingekuwa imewashwa sasa hizo nane mpaka uchaguzi ndiyo ziwashwe.
Daraja la Magufuli,
Mradi wa maji Mwanza,
Masoko yote makubwa Mwanza,
Endeleza list