Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Msemo kama huu una maana gani.Ukipata tumia ukikosa jutiaMisemo ya wahenga yote inamaana na ina tija,ila ni fikirishi,ukiwa mzembe wa kutafakari yote haina maana kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafakari mkuu,una maana huo,hata kwenye hekima ya nabii Sulemani imeandikwa "wakati wa raha ufurahi na wakati wa shida utafakari"unadhani alimaanisha nini?Msemo kama huu una maana gani.Ukipata tumia ukikosa jutia
great thinker
Sheikh wangu hii ni ya wahenga wa Pemba na Mombasa.Panua paja gogo lipite.ππ