Taja misemo ya wahenga isiyo na tija

Taja misemo ya wahenga isiyo na tija

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Humu ndani wazima lakini?Najuwa tunapenda sana kutumia misemo ya wahenga katika maisha yetu lakini kuna misemo mingine haina maana.Tuorodheshe misemo ambayo haina tija kwa jamii ya sasa.
Samahanini wahenga;Mi naanza
Wa juu mngoje chini.
Nguo ya kuazima haisitiri mat*k*
Polepole ndo mwendo
Mtegemea vya ndugu hufa maskini
Kikulacho ki nguoni mwako
Weka na wewe yako


great thinker

 
Wa mwisho huwa wa kwanza.. Hapa wahenga walichemka..
 
Back
Top Bottom