DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kwani shemeji yako alikukataza usirudi tena ??sijawah fika Dar na sina mpango nako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani shemeji yako alikukataza usirudi tena ??sijawah fika Dar na sina mpango nako.
Naona watu wana comment kwa chuki.... Kama huna hela huwezi kufurahia maisha never hata upelekwe Paris huna hela mfukoni ya kuspend bado utaijengea chuki Paris tu... Nothing new herHuu sio uzi wa kutetea mikoa. Kila mmoja aachwe ataje alipojutia. Mfyuuu
Naona watu wana comment kwa chuki.... Kama huna hela huwezi kufurahia maisha never hata upelekwe Paris huna hela mfukoni ya kuspend bado utaijengea chuki Paris tu... Nothing new her
Ni wapi nilipo linganisha Arusha na Paris? Au tayari umesha kula nyama mbichi?Sasa arusha kwa wavuta bangi,mateja na mashoga unataka ulinganishe na paris tumia akili bas acha kutumia makamasi
Karibu sana katavi mkuuYaani ujute kufika mkoani? Unajutia Nini Sasa? Anyway, mkoa ambao sijafika kabisa ni RUKWA kwa Sasa pia na Katavi ila nitafika panapo uzima. The rest ongelea wilaya na sio mikoani tuu.
No need to argue with Senior Idiots.Bangi zinakusumbua ewe kijana wa arusha
we jamaa ulifika tanga kimasikini mkoa ulivyo poa vile aisee watoto wa kiarabu wote waleSijawahi kufika.
Lindi,mtwara,mbeya,Mara,iringa,na kigoma
Mikoa ambayo siipendi Ni tanga na tabora
Mkoa ambao najutia kufika Ni morogoro
You're worthy a ' CERTIFIED INANE ' on this rostrum.Nywana
Mkuu yani ukitekenya tu unaletewa kama watano hivi zote pini basi unafanya kama unalipizia enzi za utumwa tuKwahiyo tanga watoto wa kiarabu ni kama wote
Kwakuwa watoka kanda ya Ziwa kutokana na kauli yako yakuwa wasikitikia hela yako kwenda Arusha (kama kweli ushafika) haishangazi sana... maaana ni kama ile phobia na allergy iliyo ambukizwa kwa watu wa kanda hiyo dhidi ya kaskazini inasafiri katika speed nzuri[emoji23]Na selelereka nayo
Mimi sijawahi fika Kigoma na sina mpango wa kufika pia sijawahi fika Tabora na sina mpango wa kufika.
Najutia sana kufika Arusha maana ni mkoa choka mbaya kishenzi, nilitupa nauli zangu bure bora ningebaki Mwanza tu.
Siyo nyie arusha ambao munalala na mifugo mzungu akija alafu asiwaone nyie wanyama wa mbugan anaomba arudishiwe pesa zake. Taja mila potofu zetu mwanzaMwanza, pabaya sana aseh, wakazi hawajaelimika bado wanaendekeza mila zilizopitwa na wakati
Phobia ipi mkuu kwahiyo tusiwe tunasema ukweliKwakuwa watoka kanda ya Ziwa kutokana na kauli yako yakuwa wasikitikia hela yako kwenda Arusha (kama kweli ushafika) haishangazi sana... maaana ni kama ile phobia na allergy iliyo ambukizwa kwa watu wa kanda hiyo dhidi ya kaskazini inasafiri katika speed nzuri[emoji23]