Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Huu sio uzi wa kutetea mikoa. Kila mmoja aachwe ataje alipojutia. Mfyuuu
Naona watu wana comment kwa chuki.... Kama huna hela huwezi kufurahia maisha never hata upelekwe Paris huna hela mfukoni ya kuspend bado utaijengea chuki Paris tu... Nothing new her
 
Sasa arusha kwa wavuta bangi,mateja na mashoga unataka ulinganishe na paris tumia akili bas acha kutumia makamasi
Naona watu wana comment kwa chuki.... Kama huna hela huwezi kufurahia maisha never hata upelekwe Paris huna hela mfukoni ya kuspend bado utaijengea chuki Paris tu... Nothing new her
 
Yaani ujute kufika mkoani? Unajutia Nini Sasa? Anyway, mkoa ambao sijafika kabisa ni RUKWA kwa Sasa pia na Katavi ila nitafika panapo uzima. The rest ongelea wilaya na sio mikoani tuu.
Karibu sana katavi mkuu
 
Sijawahi kufika.
Lindi,mtwara,mbeya,Mara,iringa,na kigoma

Mikoa ambayo siipendi Ni tanga na tabora

Mkoa ambao najutia kufika Ni morogoro
we jamaa ulifika tanga kimasikini mkoa ulivyo poa vile aisee watoto wa kiarabu wote wale
 
Na selelereka nayo

Mimi sijawahi fika Kigoma na sina mpango wa kufika pia sijawahi fika Tabora na sina mpango wa kufika.

Najutia sana kufika Arusha maana ni mkoa choka mbaya kishenzi, nilitupa nauli zangu bure bora ningebaki Mwanza tu.
Kwakuwa watoka kanda ya Ziwa kutokana na kauli yako yakuwa wasikitikia hela yako kwenda Arusha (kama kweli ushafika) haishangazi sana... maaana ni kama ile phobia na allergy iliyo ambukizwa kwa watu wa kanda hiyo dhidi ya kaskazini inasafiri katika speed nzuri[emoji23]
 
Mwanza, pabaya sana aseh, wakazi hawajaelimika bado wanaendekeza mila zilizopitwa na wakati
Siyo nyie arusha ambao munalala na mifugo mzungu akija alafu asiwaone nyie wanyama wa mbugan anaomba arudishiwe pesa zake. Taja mila potofu zetu mwanza
 
Kwakuwa watoka kanda ya Ziwa kutokana na kauli yako yakuwa wasikitikia hela yako kwenda Arusha (kama kweli ushafika) haishangazi sana... maaana ni kama ile phobia na allergy iliyo ambukizwa kwa watu wa kanda hiyo dhidi ya kaskazini inasafiri katika speed nzuri[emoji23]
Phobia ipi mkuu kwahiyo tusiwe tunasema ukweli
 
Back
Top Bottom