Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Hata vitabu vitakatifu vyasema... 'ukweli utamuweka mtu huru' kwahiyo si vibaya kuutoa ukweli wako.. ni jambo jema na tena ni haki yako... lakini haizuii wengine kufanya tafakari ya kile kimekusukuma kutoa ukweli huo.
Phobia ipi mkuu kwahiyo tusiwe tunasema ukweli
 
Acha kusingizia vitabu mkuu arusha imechoka sana huo ndo ukweli
Hata vitabu vitakatifu vyasema... 'ukweli utamuweka mtu huru' kwahiyo si vibaya kuutoa ukweli wako.. ni jambo jema na tena ni haki yako... lakini haizuii wengine kufanya tafakari ya kile kimekusukuma kutoa ukweli huo.
 
Sijawahi kufika tanga, rukwa, lindi, mtwara, ruvuma, mbeya na Zanzibar na ninahamu kufika huko. Sijutii kufika huko.
 
Acha kusingizia vitabu mkuu arusha imechoka sana huo ndo ukweli
Ntakubishiaje wakati sijui mental picture ya Arusha uliyonayo? Yaweza kuwa picha ya Arusha uliyonayo ni kule kwenye slums za Unga limited... Hata mmakonde aliye fikia Buza kwa Lulenge akisema Dar ni mji mbovu.. hakuna mitaa, nyumba zimebanana na vigodoro mda wote hata saa tano Asubuhi hatuto mshangaa au kumpinga kwa kuwa ndio Dar yake anayoijua.
 
Kwahiyo unga limited ni mwanza ila siyo arusha?
 
Najutia kufika Moro wafanyabiashara wa huku wana tamaa

Naichukia kufika kigoma
 
Sijawahi kufika.
Lindi,mtwara,mbeya,Mara,iringa,na kigoma

Mikoa ambayo siipendi Ni tanga na tabora

Mkoa ambao najutia kufika Ni morogoro
Lindi na mtwara tayari nishafika...naufufua uzi wakuu
 
Chakula kipo mpaka cha jero alafu unasema maisha magumu ase....
Hapajui Moro huyo kuna mtaa unaitwa Chamwino viazi vitamu vya buku mnakula familia na kubakiza vingine, chumba cha buku teni kina umeme na maji [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…