Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Huko panadarid sana kushinda hata London
Nipo Njombe naelekea Songea kwa mara ya kwanza...lodge gani nzuri hapo songea hapa njombe nimekaa siku tatu Hillside pako poa sana kasoro baridi kuliko hata ulaya
 
Safi sana fanya hivyo mkuu mtoto ndo muhimu zaid japo wanawake wengi huwa wanawakomoa wanaume kuhusu pesa za mtunzo ila wewe usichoke
Kweli aise unaweza kutoa matunzo bado akampandikizia chuki mtoto
 
Anayesema siwezi kwenda mkoa fulani anajidanganya na Wala kweli haiko ndani yake. Mtoto wako, ndugu yako, jirani yako ataoa/ataolewa huko, atahamia kikazi augue alazwe huko, asafiri kikazi akamatwe uende kutoa dhamana, itokee fursa ambayo imekulenga moja kwa moja n.k.
 
Mkuu mimi siwez kwenda kigoma hata nirogwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…