Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Mwanza nimekuelewa saan japo Nina kam Siku NNE tangu niwepo apa
 
Kigoma sumbawanga ruvuma mtwara lindi njombe mara tusameane na tusitafutane otherwise oxygen ipatikane huko tu
 
Mikoa ambayo sijafika ni Mtwara, Ruvuma, Mbeya, na Rukwa. Sijawahi jutia kufika mkoa wowote.

Mikoa niliyoipenda: Kigoma, kuna varieties ya vyakula, na sehemu nyingi za kupumzika kuanzia Kigoma Hotel, Hilltop, Bangwe.

Sehemu nyingine ni mkoa wa Mara, hasa hasa Tarime, pako poa sana.

Sehemu ambapo niliboreka kiasi nadhani ni mkoa wa pwani, Kibaha jina kubwa lakini hamna kitu, na wilaya nyingine kama Mkuranga na Rufiji, doro sana.
 
Na selelereka nayo

Mimi sijawahi fika Kigoma na sina mpango wa kufika pia sijawahi fika Tabora na sina mpango wa kufika.

Najutia sana kufika Arusha maana ni mkoa choka mbaya kishenzi, nilitupa nauli zangu bure bora ningebaki Mwanza tu.
Geneva of Africa ndorobooeeh
 
Sijawahi jutia hata chembe kufika Kilimanjaro,wazee wa Marangu mpooo.......
Pia Arusha,Moro na pwani yote,Dodoma yote...
Watanzania ni wakarimu sana,
 
Huu sio uzi wa kutetea mikoa. Kila mmoja aachwe ataje alipojutia. Mfyuuu
 
Morogoro kuzuri japo maisha ghali Sana, kma huna kipato Cha kueleweka huwez kuish, pia Morogoro pabaya Sana during rain season.
Kwa hiyo unatushauri sisi wenye kipato cha kijungujiko. Tusiwaze kwenda kuishi Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…