Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geneva of Africa ndorobooeehNa selelereka nayo
Mimi sijawahi fika Kigoma na sina mpango wa kufika pia sijawahi fika Tabora na sina mpango wa kufika.
Najutia sana kufika Arusha maana ni mkoa choka mbaya kishenzi, nilitupa nauli zangu bure bora ningebaki Mwanza tu.
Pole sana , ukifika hutotokasijawah fika Dar na sina mpango nako.
Fika kwanzaDar pakishamba sana
Huu sio uzi wa kutetea mikoa. Kila mmoja aachwe ataje alipojutia. MfyuuuKama huna hela (£,€,$,¥) huwezi kuipenda Arusha na hata ukienda Chuga kama huna Masimbi utauona huo Mkoa umekuonea sana.... Hakuna Mkoa Tanzania nao jutia kuutembelea, kwanza kila wilaya ina ladha yake.... Kama huna Ngawira kila utakapo enda lazma utapachukie tu na kujenga chuki napo.....
Nikipata safari ya kwenda kutembea, naanzia mjini namalizia na vijijini kama huo mkoa una vivutio vya kitalii namalizia na hapo narudi zangu kichwa kikiwa kimejaa vitu vipya...
Kwa hiyo unatushauri sisi wenye kipato cha kijungujiko. Tusiwaze kwenda kuishi MorogoroMorogoro kuzuri japo maisha ghali Sana, kma huna kipato Cha kueleweka huwez kuish, pia Morogoro pabaya Sana during rain season.