The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1: Desparate house wives
Widow anatisha sana huko.Jaribu kucheki INTO THE BADLANDS inaweza kukuvutia zaidi ya hiyo LOST.
Last ship namkumbuka captain..na meli yetu nathan james😂😂😂....daaa pombe zimenifanya niache kuangalia haya madude1: Desparate house wives
2: The last ship
3: 24
4: Lost
Blackishtupeni na series za comedy wadau watu tuvunje mbavu,, kama ile worst week ni balaa
THe Game of ThronesKufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.
Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24
Aiseee movie hadiii nilikuwa nakosaa amanii pale series inapo ishaa ni breaking bad na sija imaliza mpaka leoo.
Power kweliiii sema sija imalizaaGodfather of Harlem
The Sopranos
The Wire
Narcos
Power