Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Kufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.

Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24
Duh nmeimiss Quantico,niliachia season two,Walking dead mpaka season 9,kuna See.best of all ambayo naifuatilia sai ni Money heist lacasa de papel.Hii ni mwoto sana
 
Mkuu mbona scorpion ni popular sana tu na watu wengi sana washaiona? Me kwangu hata kwenye top 10 haiingii..
1. Scorpion (hamna anaeijua[emoji28])
2. Power
3. 13reasons why

4. Homeland (shout outs kwa wanaoijua kali sanaa)
5. Blacklist
6. Arrow

7. The Flash
8. Legends of tomorrow
9. Smallville

10. Genius[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom