Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Hii ni nzuri sana kwa wanaopenda movie za kutisha tisha niliipenda sana natafuta season 2 ila sijaipata

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
1. 24
2. Prison break
3. Hapa itapigwa playoffs kati ya strike back, lost, Homeland, missing, the event, jumong nk
 
Tom Clancy's Jack Ryan
Hii ndio series pekee nilio wahi angalia mwanzo mpaka mwisho bila kuruka kipande hata kimoja.
 
IRIS nzur sana mim mvivu wa kumalizia ila IRIS nilimalza
Sinyora, ile kitu wakorea walituliza akili sana, na ilivunja record zao za mauzo, na budget walitumia kubwa sana, na wakapata waigizaji wanaojua sana, yule starring wa IRIS 1 alikula sana shavu Hollywood.
 
Hivi hii money heist ina version ya english?maana mambo ya kuangalia series huku uko busy unasoma subtitles ni adhabu.
Yeah ipo, mimi nimeangalia ya english mkuu, kwenye VLC kuna option ya lugha pale, ukiclick english language, unakula yai mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…