The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Hivi designated survivor inaendelea?,,1.IRIS
2.Money Heist
3.How to get away with a Murder
Ungesema tano, ningeongeza
SUITS
Designated Survivor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi designated survivor inaendelea?,,1.IRIS
2.Money Heist
3.How to get away with a Murder
Ungesema tano, ningeongeza
SUITS
Designated Survivor
Nasubiria Season 08, Inaelezwa ndio itakuwa ya mwisho, Dah mpaka nipate another gripping spy series of the same it will take me a millennium.
Carrie Mathinson anajua sana kuitendea haki nafasi yake, one terrible thing about her is bipolar disorder.
Sent from my HTC_D816x using JamiiForums mobile app
Of course, there some disorders which are more common in white people than blacks, however there are many in our environment which we fail to notice but rather cling to superstition and all that stuff not knowing they're mental illness.Hizo disorder inaonekana ni very common kwenye context za wenzetu.
Hiyo series star ndo hyo carrie
1. Prison break
2.Game of Throne
3. Money Heist
Hizo nomaaa zimenifanya nikeshe kuangalia
Na mimi nipo... Nazichukia series kwa vile unakuwa mtumwa wa series .... Fikiria ukiwa mbali na TV huku yenyewe inakaribia kuanza....hivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
Sio others mzee baba, wanawaita "The others"Napenda ile misemo yao
"They coming"
"Who is coming"?
"Others"
Who is others?
You mean the secret life of American teenagers??Munange yabo tukuleba akwo ulitego lwa
Nikita
Arrow
American teenagers
Nimeiangalia kwa kuirudiarudia prison Break for more than ten timesGame of thrones
Vikings
Blacklist
Breaking bads
Designated survivor
Prison break
The bodyguard
Watch PB hutojuta-24
-Power
-Killing Eve
Ok. You mean prison break?Watch PB hutojuta
1 into the badlandKufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.
Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24
Yeah yeah! Hiyo kitu ni balaaOk. You mean prison break?
Nimeitafuta mpaka Leo traveller sijaipataTraveller
Dae Jo young
Iris
Hii traveller Mwendelezo wamarekan wakagoma isitokr
Akikupa ntumie pleaseNipe link ya free downloads mzee mwenzangu
Killing eve hamna kituWatch PB hutojuta
Hutojutia kwa kweliInaonesha 24 ni nzur sana watu weng wameiandika itabid niitafute
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app