Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

1.Game of Thrones
main-qimg-fe212e3da2566eebeb5c71573cfecba9-c

2. Breaking Bad
main-qimg-5c41d5b140e97acbeac447cde95aeb8a

3. Dexter
main-qimg-c24f2680df3b0df96f367b0724cf2313

4.Narcos
main-qimg-6934283980807ba98d7148e7c5ba8b49

5.YOU
main-qimg-c4df1f9427b76fc2eae352901ef12e8f

main-qimg-61698ba4b8a8f4ebe9fc109efa27dfff
 
Hahaha tuko pamoja kwenye homeland.Ingawa kifo cha brody kilinihuzunisha mno
Sikutegemea Brody Afe Ukiangalia Hata Kwenye Series Cover Yupo Pamoja Na Carry.

Kifo kingine kilichoniuma ni cha yule jamaa aliyejitoa muhanga kumuokoa rais wa USA, akiwa pamoja na carry kwenye ndinga ya Suburban Chevrolet.
 
Baada ya brody kunyongwa nilikaa kama mwezi hivi kutafuta pozi la kuendelea na next seasons.
Ila waarabu wanauwezo mkubwa sana kuigiza with reference to (series ya tyrant)
 
Baada ya brody kunyongwa nilikaa kama mwezi hivi kutafuta pozi la kuendelea na next seasons.
Ila waarabu wanauwezo mkubwa sana kuigiza with reference to (series ya tyrant)
Ni kweli mkuu, kumbe uliishia njiani hukumaliza hadi season 07?
 
Sikutegemea Brody Afe Ukiangalia Hata Kwenye Series Cover Yupo Pamoja Na Carry.

Kifo kingine kilichoniuma ni cha yule jamaa aliyejitoa muhanga kumuokoa rais wa USA, akiwa pamoja na carry kwenye ndinga ya Suburban Chevrolet.
Yule alicheza movie ya AK 47?
 
Niliendelea yaan nilipoz kwa muda
Nasubiria Season 08, Inaelezwa ndio itakuwa ya mwisho, Dah mpaka nipate another gripping spy series of the same it will take me a millennium.

Carrie Mathinson anajua sana kuitendea haki nafasi yake, one terrible thing about her is bipolar disorder.

Sent from my HTC_D816x using JamiiForums mobile app
 
hivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
Mi pia sijaiangalia na sijisikii kuitamani kwa sababu nakuaga na tatizo moja, movie au series ikiwa maarufu Sana kwenye vyombo vya habari na mitandaoni mi nikija kuiangalia najikuta hainivutii kabisa Kama Black Panther niliitafuta kwa nguvu kuiangalia hata sikuimaliza nikaifuta siku hiyo hiyo
 
Yeah ipo, mimi nimeangalia ya english mkuu, kwenye VLC kuna option ya lugha pale, ukiclick english language, unakula yai mkuu.
Okay,bahati mbaya naangalia online na sijapata site ambayo ina english version.
 
Song I gook series zake zote tamuu sana hauchoki angalia tena na tena na tena tofauti k-drama zingine unaweza usitamani rudia maana wanarudiaga mulemule tofauti vimajina vyao tu
Nitajaribu kuitafuta na kuichek mkuu.
 
1. Jack Ryan
2. Designated survivor
3. Six

Nyongeza

*Ghoul
*Under the Dom
*Zee Nation
*Young Sheldon

Zipo nyingi ila hizo ni chache tu ambazo ukizitazama hutojutia muda wako.
 
Back
Top Bottom