Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Sinyora, ile kitu wakorea walituliza akili sana, na ilivunja record zao za mauzo, na budget walitumia kubwa sana, na wakapata waigizaji wanaojua sana, yule starring wa IRIS 1 alikula sana shavu Hollywood.
Shida ya IRIS hadeo sijui majina japo ya wahusika wawili wa hii series... Napendaga sana zile nyimbo zao
 
Binafsi sijui kwanini game of the throne imekuwa gumzo,bora hata prisonbreak baada ya maneno mengi niliamua kuicheck na nika appreciate,lakini hii game of the throne sioni namna gani itaizidi hii nayotazama sasa ya ,Lord of the skies,kina jitu kumbuka Aurelio cassila,mnyama Chema venigar,mzee Feo,Rais omar Tellane,kijana Victor mwana wa chikota,katili official na schemer Engineer mzee wa mwendo pole bila kumsahau military strategist Harvey,Tim rawling etc

Prison break ni hatari kuliko zote
 
Inaonesha 24 ni nzur sana watu weng wameiandika itabid niitafute

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Inategemea unapenda series za aina gani kama hadi leo haijaicheki basi ujue sio testi yako... Sema kama unapenda series za vihoja vya korido za ikulu, special tasks, ugaidi na propaganda zake hakuna zaidi ya 24
 
Back
Top Bottom