Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

1>Power
2 Power
3 Power
Hakuna season kali zaid ya hi"James Patric
 
Napenda ile misemo yao

"They coming"

"Who is coming"?

"Others"

Who is others?
Bila kusahau kiingereza anachoongea Benjamin linus(michael Emerson) jamaa ana vocabulary za kutosha sana

Kwenye person of interest wamemuita jina la utani mr high dollar vocabulary
 
Yule huwa anasura flani hvi kama mtu asie na akili zilizotimia..

Kwenye person of interest alitisha zaidi kama umeingalia, anajita Harold finch
Ukimkuta kama narrator yupo vizuri mno anasimulia au kuelezea kitu yupo sawa sana kama huwa una anaangalia discovery science kuna show huwa ana narrate yeye
 
SUITs habari nyingine, imenifanya hadi natamani kuwa mwanasheria.
To me this is one among the best 3 series I've ever watched.
Mkuu SUITS ni tamu hasa coz ni mwendo wa hoja tu, watu wanaakili mle ndani, nakupendekezea nyingine nayo ni masuala ya sheria inaitwa HOW TO GET AWAY WITH A MURDER kacheza my best actress Viola Davis.
 
Back
Top Bottom