Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Mkuu tenga muda itafute uitazame, utainjoi sana, bonge moja la series.

Angalizo:
Season 1&2 zinahitaji uvumilivu na wengi huacha kutazama hapo, ila ukijikaza huko mbeleni ni moto sana!

Pia usitizame mbele ya familia, UTAAIBIKA.
At least umenipa moyo kdg, mm nimeangalia season 1 episode ya kwanza nikaishia pale jamaa anakatwa kichwa kwenye gogo. Nikaona mizinguo
 
1. Silicon valley
2. Mentalist
3. Boston legal ("denny crane")

Napenda series ntakayo jifunza ki2 kipya katika kila episode na yenye comedy yenye uhalisia. sio unaangalia series umenunanuna tu kama vile Games of thrones..
 
kabsa na nadhan ndo itakuwa season ya mwisho
Ghost.
Next seasons nahisi itakua imejaa betrayal tupu.
Nilikua namkubali sana MILAN ingawa hakukaa mda mrefu ila loyality ya Tommy kwa Ghost ni exceptional
 
Kuna mnyama teodore Bagwell a.k.a Tbag swaga zake nazipenda sana ukija kwenye malavidavi unamkuta fernando Sucre na demu wake Maria Cruz Mixer General Mzee wa system yeye huwa haongei sana
Huku unakutana na bad cop ambae system haijui kama ni bad cop, his name is Alexandra Mahonne.

His heart is very good though.

Alivyomfanya Wyatt Mathewson sasa ndio usiombe
 
Ukweli mtupu, huwezi kuichoka hii kitu, nitajie nyingine yenye maudhui kama hii mkuu
Dah, kama ni mdau wa mambo ya ujasusi hii ndio bora muda wote.
Nilichofurahia inahusisha sehemu mbali mbali nje ya marekani, kama Taliban, Afghanistan, Beiruti, nk unajionea culture mbali mbali na kivipi jasusi huweza kucope na mazingira yenye tamaduni tofauti na yeye ( being a chameleon).

Kingine imejitahidi kuonesha mwanamke alivyo fit kukabili maadui.

Na mwisho, imeonesha agenda kubwa za siri kati ya marekani na middle east kwa mapana zaidi na vipi huwa zinakuwa resolved.

Nimejaribu kutafuta spy series za namna hii bhado sijapata .

Natamani nipate yenye CIA, Mossad, ISIS Na KGB.
 
Back
Top Bottom