Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

dokgo rewind,
descendant of the sun
love in time
ila hiyo dokgo rewind nilifanikiwa kuona epsode 4 tu ila sinakipigo kitakatifu nimeshindwa kupata mwendelezo
 
Hakuna series bora kwangu kama

1.Homeland- mpaka nairudia, nangojea season 08.

2. The excorcist.

Nicolas Brody nliishiaga season four then nlivokuja kugundua iliendea nmedownload nasibiri nipate muda nieendelee nazo
 
Yaani nilijaribu hata dakika 10 nilishindwa.

Ila kila kona inatajwa.

GOT ni sinema iloyopendwa na wamagharibi wakaiprote pia inaanza kijingajinga ila consipiracy , alliances na power plays ndo iliyoifanya iweze kupendwa ile himaya kuu ya westeros kila kingdom inaitaka so kila kingdom inafanya iwezavyo kupata allies watakao pigana pamoja na kuichukua westeros that is beauty of GOT in a nutshel. Ni story nzuri na ya kusisimua. Mie the Nerd Stark family especialy Arya, Sansa, Brendan na the Man himself Jon Snow bila kuwa sahau little finger na tyron lanister wazee wa fitna ndo walinifanya nifuatilie GOT mpaka mwisho wa series.
 
Jumong
A man called God
Emperor of the sea
 
sijui kuna mtu yupo kama mimi au lah,ila series zote mnataja nazijua kwa cover tu

sijawahi angalia hata 1 ukitoa hii spartacus nliyokua nikiiangaliaga zamani kwa lengo 1

kuangalia wafanya TABIA MBAYA ila nlikua hata sina ninachofatlia cha maana,nasubiri

thread ya single movies labda ntapata cha kuchangia ila humu HAPANA sina kbsa.
 
1.IRIS
2.Money Heist
3.How to get away with a Murder

Ungesema tano, ningeongeza
SUITS
Designated Survivor
Duh mkuu designated survivor nayo umeielewa kwel duh ww genious hii sijaielewaga mpk leo
 
Back
Top Bottom