zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 434
- 581
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itafute 24hrs Mkuu yupo Jack Baurnaona 24 weng wameipost acha niitafute
1.IRIS
2.Money Heist
3.How to get away with a Murder
Ungesema tano, ningeongeza
SUITS
Designated Survivor
Kabisa mkuu,mpaka leo sijapata mbadala!Hakutakuwa na haitatokea series tamu dunianai kama 24
Jack beuer ametisha sana kwenye hiyo series!Series 24 ( hii ni shida)
Game of Throne
Nikita
Last Ship
Iris
Umenichekesha Yule mzee Kama mchawiKuna mzee ana kipala ana philosophy za ajabu sana
Tupo wote mkuu...ila ntaisaka maana kila mmoja anaizungumziahivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
Dunia yote inajua pindi nikisema"
1.LOST
Nafikili ni hiyo tu
FRINGEKufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.
Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24
tupeni na series za comedy wadau watu tuvunje mbavu,, kama ile worst week ni balaa
Jaribu kucheki INTO THE BADLANDS inaweza kukuvutia zaidi ya hiyo LOST.Kwangu mimi ni
Lost
Iris
Descendant of the sun
Ila mdala wa lost bado sijaupata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye Blindspot season ya tatu nitashukuru akinisaidiaKufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.
Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24