APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Kama kichwa kinavyojieleza..
Naanza nimesoma shule ya msingi sanawari primary school,shule ipo arusha.
Mwaka (1998-2004)..nawakumbuka walimu waliokuwa wanachapa hatari sana,kuna mwalimu mdee,mwalimu mollel,hawa sitawasahau kwa kichapo heavy.
Nawakaribisha tukumbushane ya zamani sanaaaaa.........