TAJA SHULE ULIYESOMA YA MSINGI,ikiwemo mwaka uliyoanza na kumaliza,ili upate mtu uliyesoma nae hapa jamii mpige story....

😄😄😄😄😄😄😄😄😄 woga tu
Kati wa watoa mada wanaoipelekesha TISS mitandani jf wapo wengi mno Ila wameshindwa namna ya kuwajua kabisa 😂

Sasa CIA ama FBI wanaweza toa taarifa zao kwa mbinu ya kizwazwa kama hii?

Hakuna cha uoga sote tupo kazini, nimeelekeza pahali pa kupeleka mada ni huko fb watapatikana hukoo.
 
Hahahaha

Ova
 
Hakuna mpelelezi hapa tunapiga story tu
 
Wewe itakuwa ni shushushu.Mtu pekee wa kutujuwa sisi ni nani ni admin na moderator wa jukwaa basi.
 
Wana ma group yao whatsapp na wengi hawataki kutoa codes zao wajulikane hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…