Taja sifa za mashabiki wa Simba ( MAKOLo)

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ndg Wana JF ...
Utafiti nilioufanya mwaka jana, niligundua mashabiki wa Simba ni sawa na waaumini wa ufufuo na uzima. Huwezi kushindana nao kwa kubishana.

Hizi Ni baadhi ya sifa za makolo

1. Wepesi wa kumtafuta mchawi (3rd part) pale timu Inafanya vibaya, watamtafuta wakumuwajibisha fasta.....mfano one day tutashuhudia yule CEO akiitisha press ya kumtimua Mwamedi[emoji23]

2. Waongeaji na wanakele Sana that's y wakifungwa unaweza kuta jiji limetulia

3. Wana too much expectations than uwezo walionao ( dharau na viburi)

Sifa za wananchi

1. Wavumilivu, hata timu ifanye vibaya watajipa muda kwaajili ya kuruhusu kufanya mabadiliko. Mfano issue ya prof. Nabi bado anaungwa mkono ingawa timu haikufanya vzr

Je! Unazifahamu sifa zipi za mashabiki wa Simba ( makolo)
 
Wanathiiimbaaaaaa......
Hatujamalidhaaaaaa......
 
Mashabiki walio wengi wa simba ni wapumbavu sana kwa asiye jua anaweza kudhania labda simba ni timu ya kulingana na man city kumbe wala ni ujinga mtupu.
Kabisa mkuu....wanashindwa kuweka akiba ya maneno mfano......yule msemaji wao hajaspost Tena mtandaoni ...baada ya mechi ya Azam
 
Don't forget to mention vijisifa vya m.k.u.n.d. WAKO pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…