Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg Wana JF ...
Utafiti nilioufanya mwaka jana, niligundua mashabiki wa Simba ni sawa na waaumini wa ufufuo na uzima. Huwezi kushindana nao kwa kubishana.
Hizi Ni baadhi ya sifa za makolo
1. Wepesi wa kumtafuta mchawi (3rd part) pale timu Inafanya vibaya, watamtafuta wakumuwajibisha fasta.....mfano one day tutashuhudia yule CEO akiitisha press ya kumtimua Mwamedi[emoji23]
2. Waongeaji na wanakele Sana that's y wakifungwa unaweza kuta jiji limetulia
3. Wana too much expectations than uwezo walionao ( dharau na viburi)
Sifa za wananchi
1. Wavumilivu, hata timu ifanye vibaya watajipa muda kwaajili ya kuruhusu kufanya mabadiliko. Mfano issue ya prof. Nabi bado anaungwa mkono ingawa timu haikufanya vzr
Je! Unazifahamu sifa zipi za mashabiki wa Simba ( makolo)View attachment 2401039
Wananchi hoyeeMashabiki wa Simba maneno ni mengi sana, uswahili mwingi ni shida tupu wakishinda kelele ni nyingi mno.
Hawapeleki TFF..kwa sababu wako fair na shirikisho [emoji23][emoji23]Hawana mwiko nyuma
Wakifungwa hawapeleki lawama TFF Bali wanapeleja lawama Kwa aliyehusika awe mchezaji. Kocha, uongozi
Wanapenda na kuamini timu yao ndio maana hawaogopi kujitokeza Kwa wingi kushangilia pale inapocheza
Huwa hawasubiri kununuliwa tiketi Bali wanahasishana na kwenda uwanjani
Mashabiki wao wanatambulika hadi caf Kwa hamasa na wamezifanya timu nyingi kuwa na hofu pale zinapokuja kucheza Kwa mkapa
Sifa zao zipo nyingi huwezi kuandika zote
Mkirekebisha vitu vichache.....mtakua mbali sanaSimba wanajjitambua simba wanajiamok so szmommmiini katika kkufanikisha jambo lao simba wanaishi kwa malengo simba wanaprogram za kazi na malengo simba wanaangaika ili malengo yao yatimie simba haiangaikii timu fulani huko ni kukosa malengo wala simba haijipi sifa bali matendo yake ndo yanaipa sifa kwa sababu wana uongozi imara kama ukitakaa kulijua hilo timu zilizokkua zinawakilisha nchi zilikua 6 lakini mpaka mda huu timu iliyoingia makundi ni simba kitendo cha kuingia makundi tu ni mamilioni mangapi na simba imekua ya 11 afrika kwa ubora vp nyie ndugu zetu takwimu zenu zikoje
Makubwa yapi mkuu.....kombe gani la CAF makolo wamechukua????Wewe mwikombelenyumamwiko unapozima data zako ni sehemu moja tu SIMBA IMEFANYA MAKUBWA kwenye soka ya kimataifa na hakuna timu yoyote iliyowahi kufanya wala kufika,ndio maana UTOPOLO wao sifa zao ni mbili tu kuwa bingwa wa TANZANIA BARA mara nyingi na kushinda mechi za jadi,ukirudi kwenye mengine hola,ww timu inapita miaka 25 haijafika makundi klab bingwa afrika utamwambia nani akuelewe
Unaanzaje sasa 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😀 😀
Kabisa mkuu....huwa nafurahi wakigeukana.....Mashabiki wengi ni vigeuugeu! Timu ikifungwa, wanaanzisha zengwe na zogo la kuwakataa baadhi ya wachezaji, makocha na CEO! Timu ikishinda, nderemo na chereko hutawala! [emoji848]
Ni mbumbumbu! Na jambo hili hata yule Mwenyekiti wao wa zamani aliligundua mapema sana. Na nisingependa kuingia kwa undani huko, ili wasije wakajisikia vibaya!
Wanapenda sana kutukana! Imagine kuna wakati wakitofautiana mtazamo kuhusu timu yao, wanaweza hata kurushiana matusi wenyewe kwa wenyewe.
Huwaambii kitu kuhusu mwekezaji wao! Na ukitaka utukanwe matusi yote, basi mkosoe tu mwekezaji wao! Au ulizia zilipo zile bilioni 20! Khamis Kigwangala (MB) ni shahidi katika hili.
Kwenye ushirikina.....wanatuaibisha sanaNi timu inayoendeshwa kienyeji na kiswahili mno, angalia hata viongozi wao waliokuwa wanawachagua tangu zamani ni wale wataalam wa ndumba kina Bamchawi, Hazali, hawajui kuandika hata jina.
Relaaax. Sisi ndo SimbaMashabiki wengi ni vigeuugeu! Timu ikifungwa, wanaanzisha zengwe na zogo la kuwakataa baadhi ya wachezaji, makocha na CEO! Timu ikishinda, nderemo na chereko hutawala! 🤔
Ni mbumbumbu! Na jambo hili hata yule Mwenyekiti wao wa zamani aliligundua mapema sana. Na nisingependa kuingia kwa undani huko, ili wasije wakajisikia vibaya!
Wanapenda sana kutukana! Imagine kuna wakati wakitofautiana mtazamo kuhusu timu yao, wanaweza hata kurushiana matusi wenyewe kwa wenyewe.
Huwaambii kitu kuhusu mwekezaji wao! Na ukitaka utukanwe matusi yote, basi mkosoe tu mwekezaji wao! Au ulizia zilipo zile bilioni 20! Khamis Kigwangala (MB) ni shahidi katika hili.
Mkuu.....naona umechanganya wali, kande, pilau,. Kwenye sahani moja[emoji23][emoji23]Wananchi hoyee
Kimataifa hoyee
Ccm hoyee
Umeme hoyee
Maji hoyeee
Nb: hakuna tofauti kati ya wananchi na ccm. Humu ndani wanashinda kwa wizi na bahasha za kaki….
Nje hovyoo. Huwezi kufananisha na wenzetu wa Africa. Kwenye uchumi na hata Soka.
Bure kabisa.
😀 😆Ngoja tukutafutie big sponsor....