pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Wanaenda airport kupokea wageni
Ni mambumbu walidanganywa amesajiliwa mchezaji aliyecheza Newcastle na amekataa offers kibao ulaya ila anawekwa benchi na mnzanzibari.
Morrison aliwaambia waende shule licha ya kuwakejeli na kuwatukana ila bado wanamuona maradona kweli wenye akili ni wawili tu pale.
Hawajasoma wengi wao msomi hawezi kwenda airport kupokea wanaume.
Wameambiwa ukichanjwa unaingia bure mechi za yanga na wamekubali wenye akili hawawezi kukubali hlo .
Wana imani ya kucheza Caf champions league group stage mwaka huu licha ya kupigwa pale Sudan kweli kule wenye akili ni wawili.