Taja sifa za mashabiki wa Simba ( MAKOLo)

Mashabiki wa Simba maneno ni mengi sana, uswahili mwingi ni shida tupu wakishinda kelele ni nyingi mno.
Wananchi hoyee

Kimataifa hoyee

Ccm hoyee

Umeme hoyee

Maji hoyeee

Nb: hakuna tofauti kati ya wananchi na ccm. Humu ndani wanashinda kwa wizi na bahasha za kaki….

Nje hovyoo. Huwezi kufananisha na wenzetu wa Africa. Kwenye uchumi na hata Soka.

Bure kabisa.
 
Hawapeleki TFF..kwa sababu wako fair na shirikisho [emoji23][emoji23]
 
Mkirekebisha vitu vichache.....mtakua mbali sana
 
Sifa yao mojawapo na kuu huwanyandua wanayanga bila mpira wala ganzi, yaani kavu kavu..
Pili huwapumulia kisogoni wana yanga
Mkuu....Kama unafuatilia mpira utagundua kuwa Simba ndiye aliyenyanduliwa ( kufungwa) Sana na yanga
 
Makubwa yapi mkuu.....kombe gani la CAF makolo wamechukua????
 
Kabisa mkuu....huwa nafurahi wakigeukana.....
 
Sisi makolo tumekuacha utiririke weeee hatuna habaree. Na tumeongezea na bima kwenye makolokolo yetu kazi kwenu Utopwinyoz
 
Ni timu inayoendeshwa kienyeji na kiswahili mno, angalia hata viongozi wao waliokuwa wanawachagua tangu zamani ni wale wataalam wa ndumba kina Bamchawi, Hazali, hawajui kuandika hata jina.
Kwenye ushirikina.....wanatuaibisha sana
 
Relaaax. Sisi ndo Simba
 
Mkuu.....naona umechanganya wali, kande, pilau,. Kwenye sahani moja[emoji23][emoji23]
 
Sisi makolo tumekuacha utiririke weeee hatuna habaree. Na tumeongezea na bima kwenye makolokolo yetu kazi kwenu Utopwinyoz
Mkuu....mbna hamjaulizia zile 20bln
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…