Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alafu wakali kweli wakiambiwa ukweli wanakupa mabanzi ya haja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mi niliwahi kumpenda evelini silt, sky escalate sijui akazingua nikamvaa victorie dah huko shida, nilimgusaga na mamdenyi shida kubwa, juzi nimemvaa mwingine naona kaelewa somo
 
Hahaha unalala store bibi? sasa unatofautianaje na panya!

Si pensheni uliopata ukajengee nyumba iliyobaki ukanikopea utabarikiwa sana
Acha tu mjukuu hiyo penshe nimeifuatilia hadi nimeota kibiongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti funguo ya stoo unayolala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo tissue paper ni ya nini?
Haya nakutumia vijisenti [emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23] [emoji23] hujui kazi ya tishu eeh? Haya nasubiria meseji ya M-PESA tayari nimeshaagiza soda kwa Mangi hapa ole usinitumie
 
Reactions: BAK
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kisasi hakijawahi kumuacha mtu salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijuii atakuweka namba ngap??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…