Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alafu wakali kweli wakiambiwa ukweli wanakupa mabanzi ya haja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaaaa. Mdogo wangu umekuja kivingine leo.
Ila umesahau hili
- walio wengi hawajawahi kutana na mdada asiyenuka papuchi
- walio wengi kwenye mahusiano hakuna asiye na mwanamke asiyepiga mizinga.
- walio wengi wanadharau single mothers wakati waowao ndio visababishi.
- walio wengi wana ndoa zao ila wakiwa huku wanajifanya ni masingle. Teh teh.
Yaani tabu tupu.
Acha tu mjukuu hiyo penshe nimeifuatilia hadi nimeota kibiongoHahaha unalala store bibi? sasa unatofautianaje na panya!
Si pensheni uliopata ukajengee nyumba iliyobaki ukanikopea utabarikiwa sana
Umetumia kipimo gani kuniweka kapu moja na ao pimbi wa jf.?Na Wewe walewale tu
Kilichokufurahisha?[emoji101] [emoji101][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]
Kazi kweli kweliTumeshawaona watu wenye wanaume humu...lkn kwny uso wa dunia wanakataa hawajawahi kupigwa nao humu [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] hujui kazi ya tishu eeh? Haya nasubiria meseji ya M-PESA tayari nimeshaagiza soda kwa Mangi hapa ole usinitumie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti funguo ya stoo unayolala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo tissue paper ni ya nini?
Haya nakutumia vijisenti [emoji6][emoji6][emoji6]
Npe moyo wako ntautunza demiss am shiriasi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kisasi hakijawahi kumuacha mtu salama
Hahahaaa. Na hawajui mabanzi ni ishara ya kuguswa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alafu wakali kweli wakiambiwa ukweli wanakupa mabanzi ya haja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nmecheka tu !! MkuuKilichokufurahisha?[emoji101] [emoji101]
We jamaa nae kwa kujikutaga great thinker..kumbe maandazi tuNapata mashaka na uwezo wa ufahamu wako yaani umejaa majivu na maharage mabichi tu..rubbish
PoaNmecheka tu !! Mkuu
Tumeambiwa tukowasalimia napo kesi !!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijuii atakuweka namba ngap??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kisasi hakijawahi kumuacha mtu salama