Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Hahaaaa. Mdogo wangu umekuja kivingine leo.

Ila umesahau hili
- walio wengi hawajawahi kutana na mdada asiyenuka papuchi
- walio wengi kwenye mahusiano hakuna asiye na mwanamke asiyepiga mizinga.
- walio wengi wanadharau single mothers wakati waowao ndio visababishi.
- walio wengi wana ndoa zao ila wakiwa huku wanajifanya ni masingle. Teh teh.

Yaani tabu tupu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alafu wakali kweli wakiambiwa ukweli wanakupa mabanzi ya haja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mi niliwahi kumpenda evelini silt, sky escalate sijui akazingua nikamvaa victorie dah huko shida, nilimgusaga na mamdenyi shida kubwa, juzi nimemvaa mwingine naona kaelewa somo
 
Hahaha unalala store bibi? sasa unatofautianaje na panya!

Si pensheni uliopata ukajengee nyumba iliyobaki ukanikopea utabarikiwa sana
Acha tu mjukuu hiyo penshe nimeifuatilia hadi nimeota kibiongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti funguo ya stoo unayolala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo tissue paper ni ya nini?
Haya nakutumia vijisenti [emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23] [emoji23] hujui kazi ya tishu eeh? Haya nasubiria meseji ya M-PESA tayari nimeshaagiza soda kwa Mangi hapa ole usinitumie
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom