#chajaTecno L9 plus, ukichaji umechaji, unasahau hata mahali ulipoiweka chaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio ile yenye battery ya 5000mAh?Tecno L9 plus, ukichaji umechaji, unasahau hata mahali ulipoiweka chaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuuHiyo ndio ile yenye battery ya 5000mAh?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ikiwa full charged unaweza kutumia Kwa muda gani ukiwa unatumia Internet?
Mimi nilikua natumia siku tatuIkiwa full charged unaweza kutumia Kwa muda gani ukiwa unatumia Internet?
Sent from my iPhone using Tapatalk
"...sijawahi kuipenda Samsung wala Apple...", isijekuwa ni ule msemo sizitaki mbichi hizi!Habari wadau za juma pili.
kama kichwa cha habari hapo juu.
mimi nime wai kutumia simu za aina nyingingi sana ila kiukweli nilii kuwa mgonjwa na simu za nokia na huaweii.
tokea maisha yangu sijawai kuipenda samsung sijui kwani wala apple (i phone). kwa sasa niko na simu ya kawaida sana,
hivyo basi kwa sasa nataka kujaribu simu za tecno hasa camoni 11 pro, kama una uzoefu na hii simu unaweza sema chochote kile.
hahahaahahahahaha"...sijawahi kuipenda Samsung wala Apple...", isijekuwa ni ule msemo sizitaki mbichi hizi!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Chuma kamili hicho....
nna uhakika mwaka 2050 kuna vitoto vitakuwa vinacheza kuchimbachimba chini vitaikuta hyo simu ikiwa bado na chaji jiwe mbili [emoji23]View attachment 1042318
Sent using Jamii Forums mobile app