Taja simu unayoikubali sana uliyowahi kuimiliki

Taja simu unayoikubali sana uliyowahi kuimiliki

Kwa tuliotumia hii simu hatujajutia hela zetu kwa 100%
2011-2014
images%20(7).jpeg
T-Mobile hTC my touch

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Ya hovyo sana, nilikuwa nayo 2013 ilinizingua, haikubali huduma zote za (* service), mfano, mpesa, tigo pesa! Pia huwezi kupakua app kutoka nje ya "market place" yake km android. Yenyewe inatumia windows!

Sent using Jamii Forums mobile app
uliionaje camera yake na internet network yake.
 
Nokia 6300... Mungu akijalia, mwakani ntatimiza nayo 10 years.... Team Nokia 6300 weka likes ..
 
images(6).jpeg
Samsung A9 6 PRO, nzuri kuanzia muenekano, 5000mAh, charge siku tatu data ON, HAKUNA simu yoyote ya samsung PLACTICAL inayoikuta hii kwa kukaa na charge, narudia tena HAKUNA, hata M30, niliitumia nikaiangusha na asaiv bd naitafuta kwa hamu

Sent from My Samsung Galaxy S10 Plus, nimeinunua jana pale karume karibu na duka la mapajama
 
Tecno T611,hii simu niliipenda Sana ya button lakini YouTube Kama Kawa!,ila sizioni madukani Tena.
 
Napenda Samsung na iPhone
Samsung S3 zamani and iPhone 6s...js for the RoseGold color
 
Back
Top Bottom