Taja simu unayoikubali sana uliyowahi kuimiliki

Taja simu unayoikubali sana uliyowahi kuimiliki

N81 Nokia ina sterio spika na maujanja ujanja yote tatizo zama zimepita labda wake watoe muundo ule halafu owe ya kisasa.
 
Nokia 6310 na Nokia 6310 i hatari sana hii kitu
Hizi hapa
2019-10-30-14-26-59--1764283038.jpg
images.jpg
 
Umeanza kwa mkwara sana,ila hapo mwishoni ulipomalizia ukaitaja hiyo simu nimeona kama ulitiwa upofu hata usione nini unanunua
 
Sony Xperia, nimetumia Z1, C3, Z5 Compact. Sahizi natumia simu ya uhindini inaitwa Micromax
 
Back
Top Bottom