Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka cover mkuuNaikubali sana, ndo natumia had ss. Chaj siku 3. Ila zinateleza balaa, nishavunja kioo mara 3 na kioo laki 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo, Mimi L8 siipendi linene mno. L9 plus ni nyembamba na ina muonekano mzuri japo imezidiwa uwezo wa battery na L8Mkuu, hivi hizi simu bado zipo? Kiukweli nina L8 huu ni mwaka wa 3 mpaka huwa nikishika naigeuza geuza mara mbilimbili kwamba hii ni simu ya aina gani isiyoisha chaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unauzoefu na j2 nisaidie yangu net kwa njia ya data(nikiwasha) haikubali ila kwa Wi-Fi inakimbiza hatari nataka kujua tatizo ni nn mkuu!!nilikuwa nafanya hivo mwanzo maana material mengi ya chuo yalikuwa kwenye simu.baadae nikaambiwa nikaacha lakin tayari betri liliathirika.hapa natafuta namna ya kunua betri nyingine tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tecno alijitahidi sana ila hizi za sasa miyayushoTecno P5 hata IPhone X haigusi hapo kwa huyo mnyama.
hahaahahahhhhhh kabisaChuma kamili hicho....
nna uhakika mwaka 2050 kuna vitoto vitakuwa vinacheza kuchimbachimba chini vitaikuta hyo simu ikiwa bado na chaji jiwe mbili [emoji23]View attachment 1042318
Sent using Jamii Forums mobile app