Taja simu unayoikubali sana uliyowahi kuimiliki

Taja simu unayoikubali sana uliyowahi kuimiliki

Blackberry Passport na Blackberry Playbook hapa natumia Z10
 
Kuna simu inaitwa ulefone power 5, battery yake ina 13000mAh. L9+ ina 5000mAh na inakaa na chaji hata siku tatu kwahiyo hapo ulefone inaweza ikakata wiki na zaidi bila kuchajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siikumbuki jina, ilikuwa simi yangu ya kwanza ilikuwa na memory card, uwezo wa kuplay video Nk, nilikuwa naiona ya ajabu sana miaka hiyo. Nilipewa na mzazi kipindi mtaani kote hakuna mwenye simu ya uwezo huo zaidi wa wazazi wangu maana wao wapenda teknolojia hawapitwi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilikuwa nafanya hivo mwanzo maana material mengi ya chuo yalikuwa kwenye simu.baadae nikaambiwa nikaacha lakin tayari betri liliathirika.hapa natafuta namna ya kunua betri nyingine tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unauzoefu na j2 nisaidie yangu net kwa njia ya data(nikiwasha) haikubali ila kwa Wi-Fi inakimbiza hatari nataka kujua tatizo ni nn mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nokia 6720 Classic.

Screenshot_20190310-230447.jpg
 
Back
Top Bottom