Chuma kamili hicho....
nna uhakika mwaka 2050 kuna vitoto vitakuwa vinacheza kuchimbachimba chini vitaikuta hyo simu ikiwa bado na chaji jiwe mbili [emoji23]View attachment 1042318
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo wa kibabe sana huu
Mojawapo ya simu iliyonifanya niipende JF. Kuna itel nyingine zinafanana ile ni it300 na kitu. Kipindi sijawahi fanya NECTA yoyote
boss hzi window phone Napata tetesi kua by December WhatsApp hawatakua nayo, cjui unalizungumziaje hiliHivi wenzangu mshatumia Lumia800!?
Yeah naona jamaa wapo serious wanaenda end utengenezaji, wanashauri wateja waamie IOS au Android.boss hzi window phone Napata tetesi kua by December WhatsApp hawatakua nayo, cjui unalizungumziaje hili