Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Mimi sipendi kuchekesha Ila muonekano wangu na jinsi nilivyo umekaa kuchekesha pia sizoeleki haraka inaweza kukuchukua mda sana kunifahamu na hua sifahamiki kirahisi mpaka unanifahamu unakua bado haujanijua na haujanitambua Ila umeishia kunisikia tu yaan in short sieleweki nipo so ambiguous & equivocal
 
[emoji23][emoji23] Zipo nyingi ila ile ndio imezidi. Yule angepata kama wewe umnyooshe
Kuna njia nyingi za kumnyoosha mtu.
1. Unamnyoosha kwa upole, unamsema taratiibu hadi anajiona mjinga...njia hii huwa naitumia kwa watu wachokozi na wanaopenda kulipuka.

2. Njia ya pili unamkoromea hadi atamani kujificha kwenye mfuko wa shati😂😂😂.
Hii unmashtukoza na kumtolea sauti kali kwa ghafla, hii humfanya mtu asijiamini, ndipo unaingiza jambo lako.

Njia za kudeal na wakorofi huwa hazifanani, unadeal na mtu kwa kutegemea haiba yake na tabia yake.
 
[emoji1787] mimi mwenyewe kuna siku nilitaka kukukimbia. Ila kuna muda ni sawa tu hakuna mtu atakuletea mambo ya hovyo.
Nimemkumbuka yule baba wa Kariakoo [emoji1787]
Mungu anisaidie, huwa sipendi kuzinguliwa kabisa.
Lkn unajua pia mimi mtu mpole sio?😂
 
Mungu anisaidie, huwa sipendi kuzinguliwa kabisa.
Lkn unajua pia mimi mtu mpole sio?[emoji23]
Aah we bwana hutabiriki. Sasa kama yule baba alikuzingua nini? Na mimi nilikuzingua ukataka kututawanyisha [emoji81][emoji81]
 
Namba moja kwa yule haifanyi kazi. Namba mbili tena apate mwanaume mwenzake ndio anaweza akapoa.
 
Asante sana
 

acha uongo we bi hindu tunakujua ww si riziki
 
Aah we bwana hutabiriki. Sasa kama yule baba alikuzingua nini? Na mimi nilikuzingua ukataka kututawanyisha [emoji81][emoji81]
Sikumbuki mbona🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…