To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🥴Duh!...unafaa kuwa mwanasiasa wa Ccm...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🥴Duh!...unafaa kuwa mwanasiasa wa Ccm...
Pole ukiwa na babe unafanyaje sasaHuko kuona aibu ndio tabia nayoichukia kutoka kwangu.
Sina babe mkuuPole ukiwa na babe unafanyaje sasa
Sawa haina shida mkuu.Siijui. Wajuvi wapo
Kulikoni jamaniSina babe mkuu
I'm waiting for a right partner.. It might be you!🙈Kulikoni jamani
Nyie hamtaki mashangazi nasikia 30 to 50 nimashangaziI'm waiting for a right partner.. You might be you!🙈
Kuna njia nyingi za kumnyoosha mtu.[emoji23][emoji23] Zipo nyingi ila ile ndio imezidi. Yule angepata kama wewe umnyooshe
Mungu anisaidie, huwa sipendi kuzinguliwa kabisa.[emoji1787] mimi mwenyewe kuna siku nilitaka kukukimbia. Ila kuna muda ni sawa tu hakuna mtu atakuletea mambo ya hovyo.
Nimemkumbuka yule baba wa Kariakoo [emoji1787]
Aah we bwana hutabiriki. Sasa kama yule baba alikuzingua nini? Na mimi nilikuzingua ukataka kututawanyisha [emoji81][emoji81]Mungu anisaidie, huwa sipendi kuzinguliwa kabisa.
Lkn unajua pia mimi mtu mpole sio?[emoji23]
Umefanya generalization mkuu masna hujaozungumza nami ukajua maoni yangu juu ya hilo😔Nyie hamtaki mashangazi nasikia 30 to 50 nimashangazi
Namba moja kwa yule haifanyi kazi. Namba mbili tena apate mwanaume mwenzake ndio anaweza akapoa.Kuna njia nyingi za kumnyoosha mtu.
1. Unamnyoosha kwa upole, unamsema taratiibu hadi anajiona mjinga...njia hii huwa naitumia kwa watu wachokozi na wanaopenda kulipuka.
2. Njia ya pili unamkoromea hadi atamani kujificha kwenye mfuko wa shati[emoji23][emoji23][emoji23].
Hii unmashtukoza na kumtolea sauti kali kwa ghafla, hii humfanya mtu asijiamini, ndipo unaingiza jambo lako.
Njia za kudeal na wakorofi huwa hazifanani, unadeal na mtu kwa kutegemea haiba yake na tabia yake.
Haya niambieUmefanya generalization mkuu masna hujaozungumza nami ukajua maoni yangu juu ya hilo😔
Mapenzi ya kweli yanakua hayapo attached with anything. Haijalishi umri, kipato au status ya mtu. Unakua unampenda mtu b'coz you love him/her. Material things ikiwemo umri sio kigezo cha kumpenda mtu. Cha muhimu ni feeling zako juu ya mtu husika, are they certain and true???Haya niambie
Asante sanaJaribu kujenga dhana ya kujiamini.....ondoa zile negative perception KUHUSU nyuma YAKO
Kuwa na mtazamo chanya Juu ya Mbele YAKO(Jitamkie mazuri always) kuna kile kitabu cha mengi kinaitwa "I must,I can and I will" try try kufikiria chanya YAKO
Mwombe Mungu akuondolee kifungo hicho cha high,aibu na uwoga KWA imani utashinda
Jaribu kujaza kichwa chako na madini mbalimbali kama kusoma vitabu hii itakusaidia kuwa na mawazo meengi na kufanya kichwa chako fikirishi
Pia Jitahidi kufanya mazoezi unaongea pekee YAKO then unaenda KWA mtu hujamzoea au umemzoea then taratibu labdah katika jumuia au kikundi
Pia Fanya mazoezi na jichanganye na watu (Penye weng pana meeng)
Amini katika ww na mabadiliko hauanza na mtu binafsi ....
Haya ni machache yakukusaidia ndugu yangu
Unefuraahi menyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sipendi kuchekesha Ila muonekano wangu na jinsi nilivyo umekaa kuchekesha pia sizoeleki haraka inaweza kukuchukua mda sana kunifahamu na hua sifahamiki kirahisi mpaka unanifahamu unakua bado haujanijua na haujanitambua Ila umeishia kunisikia tu yaan in short sieleweki nipo so ambiguous & equivocal
Basi tutamtembelea pamoja nimpige mkwara....Oct.Namba moja kwa yule haifanyi kazi. Namba mbili tena apate mwanaume mwenzake ndio anaweza akapoa.
Sikumbuki mbona🙄🙄Aah we bwana hutabiriki. Sasa kama yule baba alikuzingua nini? Na mimi nilikuzingua ukataka kututawanyisha [emoji81][emoji81]