Soma ulichoandikaMimi sipendi kuchekesha Ila muonekano wangu na jinsi nilivyo umekaa kuchekesha pia sizoeleki haraka inaweza kukuchukua mda sana kunifahamu na hua sifahamiki kirahisi mpaka unanifahamu unakua bado haujanijua na haujanitambua Ila umeishia kunisikia tu yaan in short sieleweki nipo so ambiguous & equivocal
So ambiguous & equivocalSoma ulichoandika
We tulia wewe 'Selemani' acha kuparamia wanaume usiowajuaacha uongo we bi hindu tunakujua ww si riziki
NitakukumbushaSikumbuki mbona[emoji849][emoji849]
Unaogopa kusema 'hapana'....Kusema hapana, mimi ni wale watu wakiambiwa kitu wanafanya tu bila kihoji sana. kuna dada workmate akija na mazagazaga ya kula akinipa sivungi, napiga. akiniagiza niende kitaa nimfatie chocolate sijui vocha, sikatai japokuwa ni mbali kidogo. kuna siku akaniuliza, vipi kwani wewe huwa huwezi kukataa?
hii hali naipenda na kuichukia kwa wakati mmoja maana kuna nyakati inanifaidisha na kuna nyakati inanifelisha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana. Nimewaza vitu vingiUnefuraahi menyewe.
Una nyota ya udalali.Tabia yangu nikumuahidi mtu jambo nisiloweza kulitimiza,tena naweza kumuahidi kwakusisitizi hii tabia imekuwa sugu mno saana kwangu
Huwa najipanga kuiacha lakini najipata nashindwa kabisa
kitu ambacho najuwa kabisa siwezi ila naweza nikakuahidi
watu wangu wa karibu wananilakamikia saana kuhusu hii tabia ila kwangu imekuwa ngumu kuiepuka
Sijui ni uoga ama ni nini but mtu yeyote akiniomba kitu ambacho naona kipo ndani ya uwezo wangu na nikififanya hakitaathiri sana vitu vyangu vingine, i just do it...Unaogopa kusema 'hapana'....
Duh..inaonesha upo available kuda mwingi ukiwa bize huwezi kutumwa ovyo.Kusema hapana, mimi ni wale watu wakiambiwa kitu wanafanya tu bila kihoji sana. kuna dada workmate akija na mazagazaga ya kula akinipa sivungi, napiga. akiniagiza niende kitaa nimfatie chocolate sijui vocha, sikatai japokuwa ni mbali kidogo. kuna siku akaniuliza, vipi kwani wewe huwa huwezi kukataa?
hii hali naipenda na kuichukia kwa wakati mmoja maana kuna nyakati inanifaidisha na kuna nyakati inanifelisha.
Mhh mhhh viweke bayana 😘[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana. Nimewaza vitu vingi
Mazingira ya kazi hayako tight... ila leo alitaka kuniagiza nikamkatalia maana nilikuwa nimechoka, kashangaa sana... mpaka ameuliza kama kuna kitu amenikosea maana hajanizoea hivyo...🤣🤣🤣Duh..inaonesha upo available kuda mwingi ukiwa bize huwezi kutumwa ovyo.
Usiweke kifurushi cha MB jiunge dakika tu.Kuwa online Hadi Saa hizi
Hivi K amekaa sawa? Kuna kipindi alikuwa anaumwaNitakukumbusha
Acha utoto[emoji23]Utani na masihara, mtu anaweza kunitongoza asijue km nimemkubali au nimemkataa. Nishatukanwa na men wengi baada ya kugundua simaanishi kile nilichowakubalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko hivo sipendi kununa, unaweza kukasirika me nikawa nacheka SITUNZI HASIRA
[emoji23][emoji23]Hivi kwann mnapenda kuisakama sauti yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio wewe, sio kaka ako kwann lakini?
Nilipieni tray za mayai ilegee basi [emoji23][emoji23]
Sasa sijui akukubalia au ni utani itajua sasa😂Acha utoto[emoji23]