Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Mimi sipendi kuchekesha Ila muonekano wangu na jinsi nilivyo umekaa kuchekesha pia sizoeleki haraka inaweza kukuchukua mda sana kunifahamu na hua sifahamiki kirahisi mpaka unanifahamu unakua bado haujanijua na haujanitambua Ila umeishia kunisikia tu yaan in short sieleweki nipo so ambiguous & equivocal
Soma ulichoandika
 
Kusema hapana, mimi ni wale watu wakiambiwa kitu wanafanya tu bila kihoji sana. kuna dada workmate akija na mazagazaga ya kula akinipa sivungi, napiga. akiniagiza niende kitaa nimfatie chocolate sijui vocha, sikatai japokuwa ni mbali kidogo. kuna siku akaniuliza, vipi kwani wewe huwa huwezi kukataa?

hii hali naipenda na kuichukia kwa wakati mmoja maana kuna nyakati inanifaidisha na kuna nyakati inanifelisha.
 
Unaogopa kusema 'hapana'....
 
Tabia yangu nikumuahidi mtu jambo nisiloweza kulitimiza,tena naweza kumuahidi kwakusisitizi hii tabia imekuwa sugu mno saana kwangu

Huwa najipanga kuiacha lakini najipata nashindwa kabisa
kitu ambacho najuwa kabisa siwezi ila naweza nikakuahidi
watu wangu wa karibu wananilakamikia saana kuhusu hii tabia ila kwangu imekuwa ngumu kuiepuka
Una nyota ya udalali.
 
Kusema hapana, mimi ni wale watu wakiambiwa kitu wanafanya tu bila kihoji sana. kuna dada workmate akija na mazagazaga ya kula akinipa sivungi, napiga. akiniagiza niende kitaa nimfatie chocolate sijui vocha, sikatai japokuwa ni mbali kidogo. kuna siku akaniuliza, vipi kwani wewe huwa huwezi kukataa?

hii hali naipenda na kuichukia kwa wakati mmoja maana kuna nyakati inanifaidisha na kuna nyakati inanifelisha.
Duh..inaonesha upo available kuda mwingi ukiwa bize huwezi kutumwa ovyo.
 
Mwepesi kulia mimi na sipendi ila ndo ivo tena. Af hii topic ni kama ishawahi letwa hapa. Jambo dogo tu hua linanifanya nilie. Zamani kidogo ilikua hata nikitafuta kitu nisipokiona ntalia.(wakati nikiwa mdogo ndo ilikua balaa) nkianza kutafuta hadi chozi litatoka. Lingine kutokua serious sana kwenye mambo mbalimbali. Kila kitu nachukulia simple hata jambo lenye kuhitaji umakini sana. Sijui hapa natokaje. Hasa kulia jana tu hapa nimelia.
 
Utani na masihara, mtu anaweza kunitongoza asijue km nimemkubali au nimemkataa. Nishatukanwa na men wengi baada ya kugundua simaanishi kile nilichowakubalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko hivo sipendi kununa, unaweza kukasirika me nikawa nacheka SITUNZI HASIRA
Acha utoto[emoji23]
 
Back
Top Bottom