Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Bado hujasema...CCM.....
Aah wewe ni mkorofi na mgonvi, are you chugastanian ? Kaskazini?Bora weweπ
Mimi navunja vitu aisee, naweza Hata kukurushia kitu ukaumia baadae ndio nitajutiaπ
Nachukia sana tabia ya kuwa naamka usiku wa manane kwenda kujisaidia hii huwa inanifanya nakosa furaha hasa kukatisha usingizi...[emoji2]Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.
Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum
Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?
50Umri wako tafadhali
Hii sidhani kama kuna binadamu ambaye hapumui (nadhani unamaanisha kujamba) anapokuwa amelala hasa usiku.Kupumua while sleeping πππ
[emoji28][emoji28]Hii sidhani kama kuna binadamu ambaye hapumui (nadhani unamaanisha kujamba) anapokuwa amelala hasa usiku.
Acha utoto[emoji23]
Kujamba kunaboresha afya pia kwa hiyo usiogope.[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23]
Kusema hapana, mimi ni wale watu wakiambiwa kitu wanafanya tu bila kihoji sana. kuna dada workmate akija na mazagazaga ya kula akinipa sivungi, napiga. akiniagiza niende kitaa nimfatie chocolate sijui vocha, sikatai japokuwa ni mbali kidogo. kuna siku akaniuliza, vipi kwani wewe huwa huwezi kukataa?
hii hali naipenda na kuichukia kwa wakati mmoja maana kuna nyakati inanifaidisha na kuna nyakati inanifelisha.
πππMhh mhhh viweke bayana π
Asa hapa mazoea unayoshindwa kuacha ni yapi mkuuSipendi ugomvi ila watu wanataka tugombane
Yuko poa.Hivi K amekaa sawa? Kuna kipindi alikuwa anaumwa
[emoji16][emoji16] Unakula hadi kucha za miguu? UmetishaaKula Kucha, Wanangu hii ishu ishanishinda nakula zote yani hadi za miguu.
Kucha TAMU bro
Kulamba chumviniAsa hapa mazoea unayoshindwa kuacha ni yapi mkuu
nakaa pemben nakata nazitenga pemben nikimaliza naanza kula moja moja[emoji16][emoji16] Unakula hadi kucha za miguu? Umetishaa