Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Kama bandiko linavyojieleza sisi km binadamu tunatabia binafsi au mazoea fulani ambayo sisi wenyewe hatupendezewi nayo sasa huu uzi ni wa kila mtu kutaja tabia au mazoea yk ambayo unatamani uachane nayo ila imekuwa ngumu sana.

Tafadhali kuwa muwazi huwezi jua ukasaidiwa kupitia hapahapa jamii forum

Nianze na mm mimi, 'ninatabia fulani ya kukaa upweke yaani muda mwingi natamani kuwa peke yangu peke yangu mahusiano yangu mengi yanafeli sababu ya hii tabia yangu sijui itaachana nayo vipi'...?
Nachukia sana tabia ya kuwa naamka usiku wa manane kwenda kujisaidia hii huwa inanifanya nakosa furaha hasa kukatisha usingizi...[emoji2]
 
Kukaa mbali na simu. Yaani nafeli kabisa. Natamani nisishike simu kwa muda lakini dk sifuri nitaitafuta simu ilipo.
 
Kusema hapana, mimi ni wale watu wakiambiwa kitu wanafanya tu bila kihoji sana. kuna dada workmate akija na mazagazaga ya kula akinipa sivungi, napiga. akiniagiza niende kitaa nimfatie chocolate sijui vocha, sikatai japokuwa ni mbali kidogo. kuna siku akaniuliza, vipi kwani wewe huwa huwezi kukataa?

hii hali naipenda na kuichukia kwa wakati mmoja maana kuna nyakati inanifaidisha na kuna nyakati inanifelisha.

Kaninunulie vocha kariakoo
 
Kujikuna kwapa af kunusa, au kujikuna kubwa af kunusa au kujikuna fangas af kunusa au kujambia kikopo af kunusa
 
Back
Top Bottom