Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Nnatabia ya kupanic-tukitofqutiana namtu hua nnaweza kutishia kuvunja uhusiano sijalishi wa aina gani...baada nnajutia naichukia hali hii natamani sana nibaki calm in storm situation lkn nnakua nafell mara nyingi..nnatamani kuapole namstaarabu lkn nafeli
 
Hizi tabia zote kama zangu zotee
 
Bora wewe😂

Mimi navunja vitu aisee, naweza Hata kukurushia kitu ukaumia baadae ndio nitajutia😒
Tabia hiyo hua mnaifanyia wanaume wa dar. Vunja vitu vyangu nikutengue nyonga
 
Mimi natamani niache kutamani wanawake wengine nibaki na mke wangu tu lakini nmeshindwa, nilikuwa najua nkioa nitatulia na mke wangu kumbe waap! nilijidanfanya kumbe
 
Mimi natamani niache kutamani wanawake wengine nibaki na mke wangu tu lakini nmeshindwa, nilikuwa najua nkioa nitatulia na mke wangu kumbe waap! nilijidanfanya kumbe
unajiendekeza tuu
 
Watu wanasema nipo serious sanaa... but nipo normal yan had wananiogopa,wengine wanasema kauzu sanaaa. Yan ata sielewii yn
But mke wangu anasema mimi mpole sanaa hasa kwa vijana wangu wa kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…